MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday, 11 March 2014

INASIKITISHA SANA BASI LA ABIRIAKAMPUNI YA HOOD LAPATA AJALI SAME LEO ASUBUHI

1510512_289970537825681_1111168878_n
Matukio ya ajali za barabarani bado yanazidi kuripotiwa na hii imetokea asubuhi ya leo ikihusisha basi la Hood lililokuwa likitokea Arusha kwenda Mbeya kupata ajali na kupinduka eneo la Same,mpaka sasa taarifa rasmi haijatoka ya jumla ya majeruhi na watu waliopoteza maisha.
Taarifa zaidi itafuata kupitia hapa hapa millardayo.com endelea kunifatilia.

1013844_289970731158995_649919829_n                                  
   Miongoni mwa abiria wanaosadikika kupoteza maisha

No comments:

Post a Comment