MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday, 4 February 2014

RAYUU AFUNGUKA KUHUSU ISHU YAKE YA KUTOKA KIMAPENZI NA WAUME ZA WATU SOMA HAPA

DUH..KASHFA ZA KUTOKA KIMAPENZI NA WAUME ZA WATU...RAYUU AFUNGUKA KIIVI...!SOMA ZAIDI HAPA...!

http://laivu.com/maraha/files/2012/10/rayuu-2.jpg
Rahma Bagenzi ‘Rayuu’.
MSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu.
 
http://gushit.com/files/bookmark_photos/09569cf5a5L.jpg

Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia hatua ya kufikishwa polisi na mwenye mke lakini haimaanishi kuwa hatatembea tena na mume wa mtu.

No comments:

Post a Comment