Kijana ambae jina lake halijafamika mpaka sasa,aneishi mwnanyamala dar
es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae limaliza kidato cha nne
mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na
kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya
kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwa kupta ziro..
No comments:
Post a Comment