Mwana Dada na mwigizaji mkongwe Blandina Chagula maarufu Johari ni mgonjwa na amelazwa katika moja ya hospitali maarufu hapa jijini.
Kwa mujibu wa blogu ya mwigizaji Deogratious Shija, ndugu wa karibu wa
Johari ameshindwa kuweka wazi ni hospitali gani ambayo Johari amelazwa
na kusema kuwa wanashindwa kusema mahali alipolazwa Johari kutokana na
usumbufu wa waandishi wa habari " kwakweli Johari anaumwa sana na
tunaomba dua zenu tu" Alisema ndugu huyo wa johari. Jamani tumumkumbuke
katika dua muigizaji huyu na wagonjwa wengine wote mahospitalini. Ameni
No comments:
Post a Comment