MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday, 14 January 2014

TAZAMA VIDEO JINSI BOYFRIEND WA JACKIE CLIFF ALIVYOFUNGUKA NA KUWEKA BAYANA ALICHOOONGEA NA JACKIE

Jackie Cliff
Ndani ya wiki moja iliyopita Balozi wa Tanzania nchini China aliongea Exclusive na millard ayo na kuthibitisha kwamba hajawahi kupokea taarifa kutoka gereza lolote la China juu ya kukamatwa na dawa za kulevya kwa Mtanzania, mrembo ambae amekua akitokea kwenye video kadhaa za bongofleva “Jackie Patrick Cliff’

Maelezo yake yalifanya kuwe na maswali zaidi manake kila mmoja alikua anajiuliza atakua wapi Mtanzania huyu baada ya taarifa kusambaa kwenye vyombo vya habari Tanzania kwamba kakamatwa huko Macao? 
Jux na Jackie
Boyfriend wake ambae ni msanii wa bongofleva Jux ameongea kwenye Exclusive interview na millardayo.com Jan 13 2014 saa kadhaa baada ya kuweka post ambayo ilionyesha wamewasiliana muda mfupi uliopita. 

Baadhi ya maswali aliyoyajibu kwenye video hapa chini ni pamoja na Wameongea lini mara ya mwisho? Jack anasemaje? Jack alikua wapi wakati wanaongea? yuko nchi gani? anarudi lini bongo? na mengine….

No comments:

Post a Comment