Juan Mata's £37million transfer to Manchester United accepted by Chelsea
Chelsea have accepted a £37million bid for Juan Mata and immediately released the Spanish international to join Manchester United
Chelsea
have accepted a £37million bid for Juan Mata and immediately released the
Spanish international to join Manchester
United to complete the most dramatic deal of the transfer window.
Mata will undergo a medical on Thursday at United before completing the move
that will see him more than double his £70,000-a-week Chelsea salary at Old
Trafford.
Chelsea have been braced for a bid since Monday for Mata and finally received
the offer triggering their acceptance and the release of the player.
The Premier League club are not expecting the 25-year-old to return to them
and have already made plans for his replacements. A medical has been booked
in for Thursday for Mata and personal terms accepted.
United chose a slightly unusual route to lodge their bid, using
intermediaries, but Chelsea have accepted the offer as an official one and
manager Jose Mourinho has sanctioned the move.
Klabu ya Manchester United
imekamilisha usajili wa Juan Mata kutoka Chelsea kwa ada ya uhamisho
iliyovunja rekodi ya kiasi cha pauni milioni 40.
Kiungo huyo alikosa mazoezi ya Chelsea jana
Jumatano ikiwa ni hatua ya kwanza ya kukamilisha uhamisho huo huku
akisafiri kuelekea mjini Manchester kufanya mazungumzo.
Uhamisho huo wa Mata umekuwa wa kwanza mkubwa zaidi kufanyika katika kipindi hiki cha Januari.
Mhispania huyo aliwaambia marafiki zake kuwa
anaondoka Stamford Bridge,ingawa meneja,David Moyes alikataa kuzungumzia
uhamisho huo mara baada ya kushuhudia kikosi chake kikifungwa kwa
penati na Sunderland katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Capital
One kwenye dimba la Old Trafford.
Nyota huyo anataraji kufanya vipimo vya afya
kabla ya wikiendi hii katika klabu hiyo ambayo msimu huu inatetea
Ubingwa wake wa ligi kuu ya Uingereza na atakuwa akipokea mara mbili ya
mshahara aliokuwa akilipwa Chelsea kutoka pauni 70,000 na kufikia pauni
150,000 kwa wiki.
Man United inahitaji kuimarisha kikosi chake
kutokana na kuwa na msimu mbaya na kusajiliwa kwa Mata kwa dau
lililovunja rekodi ya klabu hiyo ni nia ya kutaka kukirudisha timu
kwenye ushindani na kiwango kizuri.
Chelsea wameridhika kufanya uhamisho huo kwani,Jose Mourinho ana
viungo washambuliaji wengi katika kikosi chake hivyo imekuwa njia sahihi
ya kumridhisha kiungo huyo ambaye alisajiliwa akitokea Valencia mwaka
2011 kwa kiasi cha pauni milioni 23.5.
No comments:
Post a Comment