HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU DR. MGIMWA ULIVYOSHUSHWA TAZAMA HAPA
Mwili
wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchi hii leo
kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali
wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue
opamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge
No comments:
Post a Comment