Bado kitendawili cha ni nani mume mtarajiwa wa mwanadada huyo
hakijateguliwa kutokana na usiri mkubwa wa wawili hao. Siku ya leo
kupitia website ya Millard Ayo Diva alitangaza kua mwaka 2015 atajitosa
kugombea ubunge nahisi kaamua aolewe kabla hajajitosa kugombea huo
ubunge, kuolewa huko kunaweza kumwondolea kauzibe ka kukosa ubunge.
Tunaendelea kufanya udakuz na siku si nyingi tutawaletea majibu ya
shemeji yetu ni nani.
Fununu Bongoclan ilizozipata ni kua harusi ya mwanadada huyo haitakua
kama harusi nyingine ambazo zimekua zikihudhuriwa na watu kibao bali
harusi hii itahudhuriwa na watu wachache ambao wataalikwa na maharusi
hao tu. Kupitia mtandao huo Diva aliandika " sometimes
all you gotta do is smile..... and leave your past Behind. life is so
short .. YOLO!. general nasonga ✌️and yes i am so happy.... Furaha
imenijaa au ndio nafurahio Ndoa?! " Pia katika ujumbe mwingine Diva aliandika " "cooking for My baby.... My future husband.... The love of My life. My wedding coming soon. Are you invited?!"
Ikiwa zimepita siku chache tu tangu baada ya habari za kufukuzwa kazi kwa mwanadada mwenye sauti yenye mvuto pengine kuliko watangazaji wote wa kike mwanadada Loveness Love aka Diva. Mwanadada huyo katangaza kupitia mtandao mmoja wa jamii kua siku si nyingi tuta mlia wali au atafunga ndoa.
No comments:
Post a Comment