MWANAMUZIKI aliyeibukia kwenye Shindano
la Epiq Bongo Star Search 2012, Menina Atick amesema licha ya kusikia
kuwepo kwa baadhi ya wanaume wenye nafasi kwenye ‘game’ la muziki ambao
huomba rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike ili wawatoe, yeye atakomaa na
anaamini atasimama.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Menina ambaye
sasa anasumbua na wimbo wake
wa Shaghala Baghala alisema anachoamini ni kwamba msanii wa kike mwenye kipaji hata asipotoa rushwa ya ngono, nafasi ya kung’ara anayo, hivyo yeye atakuwa mfano kwa wengine.
“Mimi…nitoe rushwa ya ngono ili nitoke, mh…kwa kweli hiyo haiwezekani, najiamini na sitakubali kuutumia mwili wangu kwa kugawa penzi ili nisimame kwenye muziki, kwanza

No comments:
Post a Comment