MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Thursday, 19 December 2013

KUWA WAKWANZA KUPATA VIDEO KALI KUTOKA KWA BZQ NI NOMAAAA SANAA ICHEKI HAPA


Ni baada ya kimya cha muda mrefu sasa waja na track kali pamoja na kichupa kikali sio wengine hapa nawazungumzia BZQ kutoka pande za Mbeya ambao wenyewe waliizungumzia nyimbo hii na kudai mashabiki wataendelea kupata miladha tofauti kwani wataendelea na ukali wao huuhuu 
mbaka basiiiiiiiiiiiiiii

No comments:

Post a Comment