MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Thursday 10 October 2013

MPENZI WA DIAMOND PENNY YUKO MAUTUTI NI BAADA YA KUZIONA PICHA ZA WEMA NA DIAMOND

 
Story zilizopo ni juu ya msanii wa bongo Fleva Daimond anavyo endelea kuwachanganya wasichana wa kibongo na hii ni mpya kabisa  baada ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha muda mfupi uliopita kwenye mitandao ya kijamii, Kuwa Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine tena  apo ndipo ikampelekea  Dvj Penny kupoteza fahamu na kukimbizwa Hospitali.

[clip_image001%255B4%255D.jpg]
Sorce: Gongamx

No comments:

Post a Comment