MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday 11 October 2013

HIKI NDICHO WANACHOFANYIWA WAREMBO WA MISS UTALII SOMA ZAIDI


chi
 
Baadhi ya malalamiko dhini ya mwenyekiti wa Miss Utalii, Gideon Chipungahelo, yaliyopelekea Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kumpa onyo kali:
- Kuna wakati huwa wanchapwa makofi na kulazimishwa mapenzi
- Hakuna ratiba ya chakula ya kueleweka huku wakifanyishwa mazoezi muda mrefu.
- Huwaweka mabinti washiriki kwa muda wa miezi mitatu tofauti na alivyoeleza Basata kuwa kambi ni ya wiki tatu
- Baada ya washiriki, walikiri kwamba walikuwa wakilala warembo saba, wengine watano katika chumba kimoja na wengine wakilala chini huku wakila mlo mmoja tena katika muda usiofaa. Soma taarifa kamili nenda kwenye link ifuatayo: Basata yatoa Kalipio kali kwa Mratibu wa shindano la Miss Utalii

No comments:

Post a Comment