HOME STIGAS ENTERTAINMENT
MATANGAZO







Monday, 7 August 2017
Saturday, 29 July 2017
NEYMAR ATWANGANA MAKONDE NA MCHEZAJI MWEZAKE MAZOEZINI NA KUTIMKA
Sasa jukumu la kuamia PSG laweza kuwa jepesi sanaaa kwani Neymar anazidi kuonyesha hayupo sawa klabuni hapo
Friday, 28 July 2017
IVAN PERISIC SITAMANI KUONA ANAUZWA MACHESTER UNITED
Boss wa interLuciano Spalletti amesema anapinga kwa nguvu kuuzwa kwa Ivan Peresic katika club ya manchester United na hazani kama manchester united wanaweza wakaja na ofa mpya ya tatu ama wakakubali kumnunua ivan perisic kwa kubadilishana na antony matial. Hivyo wanandaa mkataba mzuri kuakikisha wanambakisha Perisic na kumfanya awe star msimu ujao
Subscribe to:
Posts (Atom)